Azam FC imesajiri wachezaji
wawili na maarufu katika ukanda huu wa CECAFA Jean-Baptiste Mugiraneza
Migi toka APR mwenye uwezo wa kucheza nafasi za ulinzi na kiungo pamoja na
Mshambulizi Mkenya anayekipiga El Marrekh ya Sudan Allan Wanga wanatua
Azam FC imethibitishwa.
Jean-Baptiste Mugiraneza MIGI
Amesajiliwa na Azam FC akitokea APR.
Wachezaji waliosajiliwa kutoka Tanzania
Ame Ally Zungu
Amesajiliwa na Azam FC akitokea Mtibwa Sugar, ya Morogoro.Ramadhan Singano
Ramadhani Singano amesajiliwa akiwa mchezaji huru, ambaye awali alikua mchezaji wa Simba.
0 comments:
Post a Comment