Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete
akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika
ndani ya ukumbi wa Mlimani City katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa
na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu
alivyoingia madarakani kwa miaka.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akipiga ngoma
huku akishirikiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipiga gitaa
ndani ya ukumbi wa mlimani City jijini Dar.
Wema Sepetu akimtunza midola Dkt John Magufuli alipokuwa
akipiga ngoma jukwaani kwa ustadi mkubwa.
0 comments:
Post a Comment