* MECHI ZA KUSISIMUA LEO TANZANIA

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara, inatazamiwa kuendelea tena leo katika viwanja tofauti. Macho na masikio ya wengi yatakua Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja wa Taifa na katika Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

YANGA VS AZAM

Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja wa Taifa ni katia ya Yanga Fc na Azam Fc.

MBEYA CITY VS SIMBA

Uwanja wa Sokoine, Mbeya ni kati ya Mbeya City na Simba SC

Share on Google Plus

About Habari Duniani

WELCOME TO MICHEZOTU (SPORTS ONLY) WHICH IS PART OF HABARI DUNIANI MEDIA GROUP. WE ALWAYS BRING TO YOU ANALYTICAL NEWS IN YOUR FINGER TIPS. TO ADVERTISE WITH US, EMAIL US VIA habariduniani@gmail.com
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment